TANROADS

Barabara Bora Kwa Maendeleo ya Taifa

 • 13 April 2017

  ALL PROSPECTIVE TENDERERS

  27 March 2017

  Minutes of Pre - Bid Meeting Mwigumbi - Maswa - Bariadi

  27 March 2017

  CLARIFICATION No 2 AND ADDENDUM No 4 FOR UPGRADING OF TABORA NYAHUA CHAYA

 • 23 February 2017

  KUSAINI MKATABA UJENZI WA UBUNGO INTERCHANGE

 • Mwisho : 27 April 2017

  REQUEST FOR EXPRESSIONS OF INTEREST (REOI) (INTERNATIONAL COMPETITIVE SELECTION) FOR CONSULTANCY SERVICES FOR CONSTRUCTION SUPERVISION FOR UPGRADING OF NYAHUA –...

  Mwisho : 24 May 2017

  INVITATION FOR TENDERS FOR UPGRADING OF DUMILA - KILOSA – ULAYA - MIKUMI ROAD (142 KM) TO BITUMEN STANDARD, LOT 2: RUDEWA - KILOSA SECTION (24 KM)

  Mwisho : 19 May 2017

  INVITATION FOR TENDERS FOR UPGRADING OF MPANDA-UVINZA-KANYANI ROAD (252 KM) TO BITUMEN STANDARD, LOT 5: MAGUNGA - UVINZA SECTION (65.5KM)

Sehemu ya Barabara ya Morocco kwenda Mwenge ikiwa katika hatua ya kutolewa tabaka ya udongo wa chini na kuwekwa tabaka ya udongo mpya kama inavyooenekana katika picha jijini Dar es Salaam Mafundi kutoka kampuni ya Ujenzi ya ESTIM wakiwa kazini katika hatua ya kutoa udongo wa chini kwa ajili ya kuweka udongo mpya ,ambapo ujenzi huo unatarajiwa kumalizika mapema Mei mwaka huu Mtendaji Mkuu wa Tanroads Staffs Baraza la Wafanyakazi Mafundi kutoka kampuni ya Ujenzi ya ESTIM wakiwa kazini katika hatua ya kutoa udongo wa chini kwa ajili ya kuweka udongo mpya ,ambapo ujenzi huo unatarajiwa kumalizika mapema Mei mwaka huu Mafundi kutoka kampuni ya Ujenzi ya ESTIM wakiwa kazini katika hatua ya kutoa udongo wa chini kwa ajili ya kuweka udongo mpya ,ambapo ujenzi huo unatarajiwa kumalizika mapema Mei mwaka huu Mafundi wakilijengea bomba la maji eneo la Makumbusho kwa kuliwekea zege na nondo  ili kulihakikishia usalama wake wakati wa ujenzi wa barabara ya Mwenge-Morocco inayotarajiwa kukamilika mapema mwezi Mei Mafundi wakilijengea bomba la maji eneo la Makumbusho kwa kuliwekea zege na nondo  ili kulihakikishia usalama wake wakati wa ujenzi wa barabara ya Mwenge-Morocco inayotarajiwa kukamilika mapema mwezi Mei mwaka huu. Hatua ya ujenzi wa barabara kwa kuchanganya udongo na sementi ili kuweka tabaka la juu(kuweka kokoto) kabla ya kuweka lami kama inavyoonekana katika picha eneo la Makumbusho jijini Dar es Salaam Hatua ya ukamilishaji wa ujenzi wa barabara kwa kuwekwa tabaka la juu kabla ya lami kama inavyoonekana katika picha eneo la Makumbusho jijini Dar es Salaam. Afisa Habari Mkuu kutoka Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) Bi.Aisha Malima akipata maelezo kutoka kwa Fundi Mchundo (Civil Technician) wa Kampuni ya Ujenzi ya ESTIM ,Bw. Kano Warema kuhusu maendeleo ya ujenzi wa barabara ya Mwenge-Morocco jijini Da Kipande cha Barabara ya Mwenge-Morocco kilicho kamilika kwa kiwango cha lami katika eneo la Mwenge-Bamaga kinavyoonekana katika picha Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhe. Eng. Edwin Ngonyani (kulia) akipokea taarifa fupi ya Wakala wa Barabara (TANROADS) kutoka kwa Mtendaji Mkuu wa TANROADS Eng. Patrick Mfugale alipotembelea ofisi za TANROADS tarehe 18 Februari 2016 Mtendaji Mkuu na Menejimenti ya TANROADS wakiwa katika kikao cha pamoja na Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhe. Eng. Edwin Ngonyani alipotembelea ofisi za TANROADS tarehe 18 Februari 2016 Barabara za mwendokasi zilizojengwa kwa awamu ya kwanza Waziri Nape Nnauye akifungua kikao kazi cha Maafisa Habari Morogoro Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Barabara za Juu eneo la Tazara, Dar es salaam. Mh Rais wa Tanzania John Magufuli akizindua Ujenzi wa Barabara za Juu akiwa na Balozi wa Japan nchini Tanzania. Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS), Eng Patrick Mfugale akitoa Maelezo Mafupi kuhusu Mradi wa Tazara Flyovers kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh.John Magufuli Mh Rais wa Tanzania John Magufuli akikata Utepe kuashiria Ujenzi wa Barabara za Juu akiwa na Balozi wa Japan nchini Tanzania, Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano pamoja na Viongozi wengine Waandamizi wa Mkoa wa Dar es salaam Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS), Eng Patrick Mfugale akitoa Maelezo Mafupi kwa Mchoro kuhusu Mradi wa Tazara Flyovers kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh.John Magufuli na Maafisa Waandamizi wengine wa Serikali. Kikundi cha Ngoma za Asili kikitoa Burudani kwa Wageni waalikwa wakati wa Uzinduzi wa Mradi wa Barabara za Juu eneo la Tazara, Dar es salaam. Mh Rais wa Tanzania John Magufuli akiwapungia Mkono Wananchi akiwa pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam wakati Rais akiingia eneo la Mradi kwa ajili ya Ufunguzi Mh Rais wa Tanzania John Magufuli akiwa na Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano wakiwasalimiana na Viongozi Waandamizi wakati Rais alipowasili kufungua Mradi wa Barabara za Juu eneo la Tazara. Muonekano wa daraja la Kigamboni (Daraja la Nyerere) wakati wa usiku Rais wa Tanzania Dkt. John Magufuli akikata utepe kuashiria ufunguzi rasmi wa daraja la Kigamboni (daraja la Nyerere) Magari yakivuka daraja la Kigamboni (daraja la Nyerere) Rais Dkt. John Magufuli na viongozi mbali mbali wa serikali wakitembea katika daraja la Kigamboni (Daraja la Nyerere) Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Mh. Profesa Makame Mbarawa akipewa taarifa ya maendeleo ya upanuzi wa Barabara ya Mwenge - Morocco(4.3km) na Mkurugenzi Mtendaji wa TANROADS Mhandisi Patrick Mfugale Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Mh. Profesa Makame Mbarawa na Mtendaji Mkuu wa TANROADS wakitembea kukagua maendeleo ya upanuzi wa barabara ya Mwenge- Morocco (4.3 km) wakandarasi wakiendelea kukamilisha upanuzi wa barabara ya Mwenge- Morocco (4.3 km) Naibu Meneja Mkuu wa Beijing Construction Engineering Group, Bw Kevin Guo akipokea hati ya Maelewano ya Hesabu za Mwisho kwa vipengele vya 2, 4, 5, na 6 vya Mradi wa BRT kutoka kwa Mhandisi.Frank J. Mbilinyi wa Mradi wa BRT TANROADS Makao Makuu. Meneja wa Mradi wa BRT, Mhandisi Barakael Mmari akishuhudia Mhandisi Frank J. Mbilinyi akichukua Hati ya Maelewano ya Hesabu za Mwisho za Vipengele 2, 4, 5, na 6 vya Mradi wa BRT tayari kumpa Meneja Msaidizi Mkuu Bw Kevin Guo wa Beijing Construction Engin Ujenzi wa box culvert eneo la Sanawari Ujenzi wa Daraja la Mto Nduruma ukiwa unaendelea Wakandarasi kutoka kampuni ya Hanil Jiangsu Joint Venture Ltd wakiwa katika hatua ya kazi ya cement modification ( CM) eneo la Shangarai UTIAJI SAINI WA MKATABA WA ITONI - LUDEWA - MANDA Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara nchini (TANROADS) Eng. Patrick Mfugale (kulia) na Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya M/S China Civil Engeneering Construction Cooperation kutoka China (CCECC) Jiang Yigao (Katikati) wakisaini mkataba wa ujenzi wa barabar Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara nchini (TANROADS) Eng. Patrick Mfugale akifafanua jambo wakati wa hafla ya kusaini mkataba wa ujenzi wa barabara za juu eneo la ubungo (Interchange) utakaotekelezwa na kampuni M/S China Civil Engeneering Construction Co Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara nchini (TANROADS) Eng. Patrick Mfugale (kulia) na Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya M/S China Civil Engeneering Construction Cooperation kutoka China (CCECC) Jiang Yigao wakisaini mkataba wa ujenzi wa barabara za juu en Meneja wa Mkoa wa TANROADS Shinyanga (katikati) akipewa maelezo juu ya ujenzi wa Barabara ya Mwigumbi – Maswa (km 50.30) na Mhandisi Mshauri wa Kampuni ya Kikandarasi ya KYONGDONG Engineering Co. Ltd ndugu Kim Hyung Gyu Kazi za ujenzi katika barabara ya Mwigumbi – Maswa (km 50.30) zikiendelea Ndugu Kim Hyung Gyu – Mhandisi Mshauri akitoa ufafanuzi juu ya utekelezaji wa mradi wa maendeleo ya kitaifa wa Mwigumbi – Maswa (km 50.30) kwa Meneja wa Mkoa wa Shinyanga Mhandisi Augustino Wittonde Phillipo 4.	Meneja wa Mkoa wa Shinyanga Mhandisi Augustino Wittonde Phillipo akikagua culvert la dharura yanayo tumika wakati barabara inapokatika kutokana mafuriko kulia ni Afisa Habari Mkuu wa TANROADS Bi. Aisha Malima Meneja wa TANROADS Mkoa wa Kagera Eng. Andrew Kasamwa (katikati) akipewa taarifa mradi wa Kyaka – Bugene (km 59.1) kutoka kwa Kaimu Mhandisi Mshauri – Eng. Hatibu Kapombe (TECU). Pamoja katika mkutano ni Bi. Aisha Malima – Afisa Habari TANROADS na Wakanda Kazi za ujenzi katika barabara ya Mwigumbi – Maswa (km 50.30) zikiendelea Kazi za ujenzi katika barabara ya Mwigumbi – Maswa (km 50.30) zikiendelea Kazi za ujenzi katika barabara ya Mwigumbi – Maswa (km 50.30) zikiendelea Kazi za ujenzi katika barabara ya Mwigumbi – Maswa (km 50.30) zikiendelea Kazi za ujenzi katika barabara ya Mwigumbi – Maswa (km 50.30) zikiendelea 2.	Kazi za ujenzi katika barabara ya Mwigumbi – Maswa (km 50.30) zikiendelea Bi. Aisha Malima Afisa Habari wa TANROADS akisalimiana na Mhandisi Mshauri wa Mradi wa Kyaka – Bugene (km 59.10) Eng. Hatibu Kapombe. Kazi ya ujenzi wa barabara zikiendelea katika mradi wa Kyaka – Bugene eneo la Kishoju Daraja la Mwisa lililo kamilika katika barabara ya Kyaka – Bugene. Meneja wa TANROADS Kagera Eng. Andrew Kasamwa (kushoto) akikagua maendeleo ya ujenzi wa barabara ya Kyaka – Bugene eneo la Kishoju Escarpment. Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara nchini (TANROADS) Eng. Patrick Mfugale akifafanua jambo wakati wa hafla ya kusaini mkataba wa ujenzi wa barabara za juu eneo la ubungo (Interchange) utakaotekelezwa na kampuni M/S China Civil Engeneering Construction Co Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara nchini (TANROADS) Eng. Patrick Mfugale (kulia) na Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya M/S China Civil Engeneering Construction Cooperation kutoka China (CCECC) Jiang Yigao (Katikati) wakisaini mkataba wa ujenzi wa barabar Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara nchini (TANROADS) Eng. Patrick Mfugale (kulia) na Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya M/S China Civil Engeneering Construction Cooperation kutoka China (CCECC) Jiang Yigao wakibadilisha hati za mikataba mara baada ya kusa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara nchini (TANROADS) Eng. Patrick Mfugale akitoa maelezo wakati wa hafla ya kusaini mkataba wa ujenzi wa barabara za juu eneo la ubungo (Interchange) utakaotekelezwa na kampuni M/S China Civil Engeneering Construction Coop Baadhi ya wawakilishi wa Mkandarasi wa kampuni ya M/S China Civil Engeneering Construction Cooperation kutoka China (CCECC) wakifuatilia hafla ya utiaji saini ya ujenzi wa Ubungo interchange Jijin Dar es salaam. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akivuta kitambaa pamoja na Rais wa Benki ya Dunia Dkt. Jim Yong Kim kuashiria uwekaji wa jiwe la Msingi katika Mradi wa ujenzi wa Makutano ya barabara za Juu Ubungo Interchange jijini D Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akimshukuru Rais wa Benki ya Dunia Dkt. Jim Yong Kim mara baada ya kuzindua mitambo na magari yatakayotumika katika ujenzi wa makutano ya barabara za juu za Ubungo (Ubungo interchange) Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mgeni wake Rais wa Benki ya Dunia Dkt. Jim Yong Kim wakimsikiliza Kaimu Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara nchini TANROADS Mhandisi Crispianus Ako aliyekuwa akielezea nama ya Wanawake wa TANROADS wakisherehekea siku ya wanawake duniani tarehe 8 Machi 2017 yenye Kauli mbiu ikiwa Maafisa wa TANROADS pamoja na Maafisa wa Kampuni ya SUMITOMO MITSUI CONSTRUCTION CO. LTD. Wakikagua Ujenzi Unaoendelea Wa Barabara Ya Juu Ya TAZARA Mkuu wa kitengo cha usalama barabarani na mazingira akipata maelezo kutoka kwa Afisa wa Sumitomo mitsui construction co. Ltd juu ya maswala ya usalama Kazi mbalimbali zikiendelea kwenye ujenzi wa barabara ya juu ya tazara Meneja wa Mradi wa Mabasi yaendayo Haraka (BRT) akiongoza kikao cha Mradi wa Uboreshaji wa Usafiri Jijini Dar es salaam ya Ujenzi wa Makutano ya Barabara ya Juu ya Ubungo ili kuunda kamati ya ufundi wa mradi huo tarehe 28 Aprili 2017
Kurasa mashuhuri
Pakua

Haki Miliki © Tanroads Tanzania 2014. Haki Zote Zimehiadhiwa