TANROADS

Barabara Bora Kwa Maendeleo ya Taifa

 • 24 March 2017

  CLARIFICATION TO QUERIES RAISED BY PROSPECTIVE TENDERERS

  24 March 2017

  ADDENDUM No. 1

  24 March 2017

  All Prospective Bidders

 • 23 February 2017

  KUSAINI MKATABA UJENZI WA UBUNGO INTERCHANGE

 • Mwisho : 18 April 2017

  REQUEST FOR EXPRESSIONS OF INTEREST (INTERNATIONAL COMPETITIVE SELECTION) FOR CONSULTANCY SERVICES FOR CONSTRUCTION SUPERVISION FOR UPGRADING OF NYAHUA – CHAYA...

  Mwisho : 19 April 2017

  INVITATION FOR TENDERS FOR UPGRADING AND REHABILITATION OF MTWARA AIRPORT AIRSIDE PAVEMENTS (RUNWAY, TAXIWAY AND APRON), PARKING AREA AND ACCESS ROAD (1.2 KM)

  Mwisho : 14 March 2017

  INVITATION FOR TENDERS TANROADS REGIONAL MANAGER'S OFFICE - KIGOMA

MIKAKATI YA TANROADS

Uboreshaji wa Mtandao wa Barabara kuu na Barabara za mikoa.

Mikakati
 • Uimarishaji mtandao wa barabara kuu na barabara za mikoa;
 • Uimarishaji wa utafiti na maendeleo wa Wakala;
 • Uimarishaji usimamizi wa masuala ya kimazingira, kijamii, kiafya, VVU/UKIMWI na usalama barabarani;
 • Uimarishaji udhibiti wa uzito wa mizigo kwenye barabara;
 • Uimarishaji usimamizi wa mtandao wa barabara;
 • Uboreshaji ubora wa kazi za barabara.
Uboreshaji wa usimamizi wa Rasilimali watu.
Mikakati
 • Uanzishaji mpango wa kuendeleza Rasilimali watu;
 • Uandaaji mahitaji ya ajira;
 • Uandaaji na Utekelezaji mpango wa mafunzo na maendeleo kwa watumishi;
 • Utekelezaji wa mfumo wa usimamizi wa utendaji na tathmini

Uimarishaji uwezo wa taasisi katika usimamizi wa mifumo.

Mikakati
 • Uimarishaji utawala bora, Usimamizi wa tahadhari na udhibiti wa ndani;
 • Uboreshaji usimamizi wa kumbukumbu;
 • Kuhakikisha uwiano kati ya gharama na thamani (thamani ya fedha);
 • Uboreshaji mazingira ya kazi;
 • Uboreshaji usimamizi wa TEHAMA;
 • Uboreshaji mahusiano ya jamii na huduma kwa wateja;
 • Uboreshaji huduma za ufuatiliaji na utathimini;
 • Ufanyaji tathimini ya taratibu za kiutendaji na utoaji mifumo itakayoboresha taratibu za utendaji.

Uboreshaji usimamizi wa fedha.

Mikakati

 • Uongezaji usimamizi wa rasilimali fedha;
 • Uboreshaji tija na ufanisi katika utoaji taarifa za fedha;
 • Uboreshaji usimamizi wa mali zisizohamishika.

Kurasa mashuhuri
Pakua

Haki Miliki © Tanroads Tanzania 2014. Haki Zote Zimehiadhiwa