TANROADS

Barabara Bora Kwa Maendeleo ya Taifa

 • 24 March 2017

  CLARIFICATION TO QUERIES RAISED BY PROSPECTIVE TENDERERS

  24 March 2017

  ADDENDUM No. 1

  24 March 2017

  All Prospective Bidders

 • 23 February 2017

  KUSAINI MKATABA UJENZI WA UBUNGO INTERCHANGE

 • Mwisho : 18 April 2017

  REQUEST FOR EXPRESSIONS OF INTEREST (INTERNATIONAL COMPETITIVE SELECTION) FOR CONSULTANCY SERVICES FOR CONSTRUCTION SUPERVISION FOR UPGRADING OF NYAHUA – CHAYA...

  Mwisho : 19 April 2017

  INVITATION FOR TENDERS FOR UPGRADING AND REHABILITATION OF MTWARA AIRPORT AIRSIDE PAVEMENTS (RUNWAY, TAXIWAY AND APRON), PARKING AREA AND ACCESS ROAD (1.2 KM)

  Mwisho : 14 March 2017

  INVITATION FOR TENDERS TANROADS REGIONAL MANAGER'S OFFICE - KIGOMA

Karibu Wakala wa Barabara

Wakala wa Barabara Tanzania ( TANROADS ) ni Wakala chini ya Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano. Iliundwa chini ya kifungu 3 (1) cha Sheria ya Wakala (Sura 245 ), na kuanza kazi mwezi Julai, 2000. Wakala inawajibika kwa matengenezo na maendeleo ya barabara kuu na mitandao ya Barabara za mikoa ya Tanzania Bara. Mtandao wa barabara Tanzania Bara unakadiriwa kuwa na urefu wa kilometa 86.472 kutokana na Sheria ya barabara ya mwaka 2007. Wizara ya Ujenzi kupitia TANROADS, inasimamia mtandao wa kitaifa wa barabara wenye jumla ya ya Kilometa 33.891 ukihusisha Kilometa12.786 za barabara kuu na Kilometa 21,105 za barabara za mikoa. Mtandao uliobaki wa Kilometa 53.460 za Mijini, Wilaya na Barabara za mlisho ziko chini ya majukumu ya Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa ( TAMISEMI ).

Kurasa mashuhuri
Pakua

Haki Miliki © Tanroads Tanzania 2014. Haki Zote Zimehiadhiwa