Directorates

Manunuzi na Mikataba

Kurugenzi ya Manunuzi ina jukumu la kusimamia manunuzi yote na utengenezaji wa zabuni za Wakala wa Barabara Tanzania. Kurugenzi ni sehemu ya Sekretarieti ya TANROADS Makao Makuu na  Bodi ya Zabuni pia. Kazi za Kurugenzi hii zimegawiwa katika idara zake tatu ambazo ni:

  • Idara ya Bidhaa na Kazi,
  • Idara ya Huduma za ushauri
  • Idara ya Kudhibiti Mikataba.