TANROADS

Barabara Bora Kwa Maendeleo ya Taifa

 • 01 September 2016

  RIPOTI YA PICHA KWA UFUPI TANROADS - SIMIYU AGOSTI 2016

  26 August 2016

  UJENZI WA BARABARA YA ITONI – LUDEWA – MANDA (KM 211.4) LOT 2: LUSITU – MAWENGI (KM 50) KWA KIWANGO CHA ZEGE LA SIMENTI, ZABUNI NO. AE/001/2014-15/HQ/...

  01 August 2016

  TO All PROSPECTIVE BIDDERS CLARIFICATION No 3 FOR CONSTRUCTION OF UBUNGO INTERCHANGE AND ASSOCIATED WORKS

 • Mwisho : 12 October 2016

  INVITATION FOR TENDERS FOR ROUTINE/RECURRENT MAINTENANCE WORKS, PERIODIC MAINTENANCE WORKS, SPOT IMPROVEMENT WORKS, BRIDGES MAJOR REPAIR, PREVENTIVE MAINTENANCE...

  Mwisho : 07 October 2016

  INVITATION FOR VARIOUS TENDER REGIONAL MANAGER’S OFFICE - KIGOMA

  Mwisho : 10 October 2016

  INVITATION FOR TENDERS FOR PERIODIC MAINTENANCE WORKS, REHABILITATION WORKS , BRIDGE MAJOR REPAIRS AND ROAD SAFETY WORKS ON TRUNK AND REGIONAL ROADS IN KAGERA R...

UTIAJI SAINI WA MKATABA WA ITONI - LUDEWA - MANDA Wakandarasi kutoka kampuni ya Hanil Jiangsu Joint Venture Ltd wakiwa katika hatua ya kazi ya cement modification ( CM) eneo la Shangarai Ujenzi wa box culvert eneo la Sanawari Meneja wa Mradi wa BRT, Mhandisi Barakael Mmari akishuhudia Mhandisi Frank J. Mbilinyi akichukua Hati ya Maelewano ya Hesabu za Mwisho za Vipengele 2, 4, 5, na 6 vya Mradi wa BRT tayari kumpa Meneja Msaidizi Mkuu Bw Kevin Guo wa Beijing Construction Engin Naibu Meneja Mkuu wa Beijing Construction Engineering Group, Bw Kevin Guo akipokea hati ya Maelewano ya Hesabu za Mwisho kwa vipengele vya 2, 4, 5, na 6 vya Mradi wa BRT kutoka kwa Mhandisi.Frank J. Mbilinyi wa Mradi wa BRT TANROADS Makao Makuu. wakandarasi wakiendelea kukamilisha upanuzi wa barabara ya Mwenge- Morocco (4.3 km) Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Mh. Profesa Makame Mbarawa na Mtendaji Mkuu wa TANROADS wakitembea kukagua maendeleo ya upanuzi wa barabara ya Mwenge- Morocco (4.3 km) Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Mh. Profesa Makame Mbarawa akipewa taarifa ya maendeleo ya upanuzi wa Barabara ya Mwenge - Morocco(4.3km) na Mkurugenzi Mtendaji wa TANROADS Mhandisi Patrick Mfugale Rais Dkt. John Magufuli na viongozi mbali mbali wa serikali wakitembea katika daraja la Kigamboni (Daraja la Nyerere) Magari yakivuka daraja la Kigamboni (daraja la Nyerere) Rais wa Tanzania Dkt. John Magufuli akikata utepe kuashiria ufunguzi rasmi wa daraja la Kigamboni (daraja la Nyerere) Muonekano wa daraja la Kigamboni (Daraja la Nyerere) wakati wa usiku
Kurasa mashuhuri
Pakua

Haki Miliki © Tanroads Tanzania 2014. Haki Zote Zimehiadhiwa