• Welcome

    The TANROADS Regional Manager's office (RMO) for Arusha region is dedicated to manage the road network under its mandate, which extend throughout all six (6) districts. The trunk roads, traverse five (5) of these districts, namely Arumeru, Arusha, Monduli, Longido and Karatu. These districts are also networked with regional roads that extend into the sixth and remotest district of Ngorongoro.

    Apart from being under the Chief Executive of TANROADS the annual plans and performance reports of the RMO are subject to the review and advise of the Regional Roads Board (RRB). The RRB is chaired by the Regional Commissioner, and its Secretary is the Regional Administrative Secretary. The RRB membership comprises of Members of Parliament, at most three Members from the Private Sector, District Commissioners, the Mayor of Arusha City Council and Chairmen of District Councils, the Arusha City Director and District Executive Directors, TANROADS Regional Manager, Regional Secretariat Engineer and the Engineers in the City /District Councils. Sections 6 and 7 of the Roads Act, 2007 (Act No.13 of 2007) provide for the establishment, functions, composition, tenure and proceedings of the RRB.

  • TANROADS YAELEZA MAFANIKIO KATIKA MKUTANO WA 17 WA TATHMINI YA SEKTA YA UCHUKUZI

    TANROADS YAELEZA MAFANIKIO KATIKA MKUTANO WA 17 WA TATHMINI YA SEKTA YA UCHUKUZI

  • WAZIRI DKT. MWIGULU AIELEZEA TANROADS KUENDELEA KUTOA ELIMU KWA WATUMIAJI JUU YA MATUMIZI YA BARABARA

    WAZIRI DKT. MWIGULU AIELEZEA TANROADS KUENDELEA KUTOA ELIMU KWA WATUMIAJI JUU YA MATUMIZI YA BARABARA

  • TANROADS YAELEZA NAMNA MFUMO WA NeST ULIVYOWANUFAISHA KATIKA SEKTA YA MANUNUZI

    TANROADS YAELEZA NAMNA MFUMO WA NeST ULIVYOWANUFAISHA KATIKA SEKTA YA MANUNUZI

  • TANROADS YASHIRIKI KONGAMANO LA 16 LA UNUNUZI WA UMMA LA AFRIKA MASHARIKI, IKIJIVUNIA KUFANYA MANUNUZI YALIYONYOOKA

    TANROADS YASHIRIKI KONGAMANO LA 16 LA UNUNUZI WA UMMA LA AFRIKA MASHARIKI, IKIJIVUNIA KUFANYA MANUNUZI YALIYONYOOKA

  • DARAJA LA MPIJI LILILOJENGWA NA TANROADS LAWA MKOMBOZI KWA WANANCHI WA MBWENI, KIHARAKA, MINAZI MIREFU, TUNGUTUNGU

    DARAJA LA MPIJI LILILOJENGWA NA TANROADS LAWA MKOMBOZI KWA WANANCHI WA MBWENI, KIHARAKA, MINAZI MIREFU, TUNGUTUNGU

  • MICHEZO IPEWE KIPAUMBELE KWA WATUMISHI WA WIZARA NA TAASISI: BASHUNGWA

    MICHEZO IPEWE KIPAUMBELE KWA WATUMISHI WA WIZARA NA TAASISI: BASHUNGWA

  • Mhe. Rais Dkt Samia afanya makubwa utekelezaji wa miradi ya miundombinu Arusha

    Mhe. Rais Dkt Samia afanya makubwa utekelezaji wa miradi ya miundombinu Arusha

  • MAKAMU WA RAIS AFUNGUA BARABARA YA LOLIONDO - MTO WA MBU

    Makamu wa Rais Dkt Phillip Isdor Mpango amefungua Barabara ya Loliondo–Mto Wa Mbu (km 217) Sehemu ya Wasso-Sale (km 49) ambayo imekamilishwa na Serikali kupitia TANROADS kwa kiwango cha lami wilayani Loliondo mkoani Arusha.
    Akizungumza na wananchi waliojitokeza kushuhudia barabara hiyo ikifunguliwa, leo tarehe 17 Mei 2023 Makamu wa Rais Dkt Mpango amesema pamoja na kwamba gharama za ujenzi wa barabara ni kubwa Serikali inayoongozwa na Rais Dkt Samia Suluhu Hassan itahakikisha inajenga kipande kilichobaki kwenda Mto wa Mbu.
    Kwa kuanzia Makamu wa Rais Dkt Mpango ameiagiza Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi kuhakikisha kuwa inaweka kwenye Bajeti ya wizara hiyo itakayosomwa Jumatatu Mei, 22-2023 na kuomba fedha kwa ajili ya ujenzi wa kipande kingine korofi cha barabara km 24 kutoka Ngaresero kwenda Engaruka wakati Serikali kupitia TANROADS ikiendelea na mchakato wa Ujenzi wa sehemu nyingine ya barabara hiyo.
    Naye Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Mhandisi Geoffrey M Kasekenya amesema barabara hiyo ni muhimu kwa wananchi wa mkoa wa Arusha, wilaya ya Ngorongoro, Loliondo na vijiji vyote ambavyo barabara hiyo inapita na kwamba inahitajika sana na watalii wanaokwenda Mbuga ya Serengeti, lengo likiwa ni hadi kufikia mwaka 2025 mikoa yote iwe imeunganishwa na barabara nzuri kwa kiwango cha lami.
    "Naomba niwape Wananchi hawa Taarifa, Rais ametoa maelekezo, kipande cha km 10 kutoka Wasso kwenda Makao makuu Loliondo nacho kipo kwenye hatua ya manunuzi ili kijengwe kwa kiwango cha lami, Mtu akitoka makao makuu ya wilaya anakuja Wasso anaendelea na lami" ameongeza Naibu Waziri Kasekenya
    Akitoa taarifa fupi ya Mradi huo Mtendaji Mkuu wa TANROADS Eng: Rogatus Mativila amesema Ujenzi wa barabara hiyo ni sehemu ya juhudi za Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika kuboresha mtandao wa barabara nchini kwa kujenga Barabara Kuu na za Mikoa kwa kiwango cha lami.

  • BARABARA YA MCHEPUKO WA KUSINI (ARUSHA BYPASS) ARUSHA HADI KENYA KM 42.4 YAFUNGULIWA RASMI.

    Leo tarehe 21 julai 2022 kumefanyika ufunguzi rasmi wa Barabara ya mchepuo ya Arusha (Arusha Bypass) yenye urefu wa km 42.4. Uzinduzi huo uliongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan na mwenzake Rais wa Jamhuri ya Kenya Mhe. Uhuru Kenyatta ambaye pia ni Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki huku ukihudhuriwa pia na wakuu wa nchi na serikali wa nchi wanachama wa jumuiya ya Afrika Mashariki, viongozi wa Jamhuri ya Sudan pamoja na Somalia.

  • MZANI WA KIMOKOUWA SULUHISHO LA UHARIBIFU WA BARABARA YA ARUSHA - NAMANGA

    MZANI WA KUPIMA MAGARI KIMOKOUWA SULUHISHO LA UHARIBIFU WA BARABARA YA ARUSHA - NAMANGA