-
Welcome
-
TANROADS YANG’ARA TUZO ZA NBAA
TANROADS YANG’ARA TUZO ZA NBAA
-
TANROADS yatoa vifaa vya uokozi kwenye jengo lililoanguka Kariakoo
TANROADS yatoa vifaa vya uokozi kwenye jengo lililoanguka Kariakoo
-
SERIKALI YASAINI MKATABA UJENZI DARAJA LA JANGWANI, BILIONI 97.1 KUTUMIKA
SERIKALI YASAINI MKATABA UJENZI DARAJA LA JANGWANI, BILIONI 97.1 KUTUMIKA
-
DARAJA LA JANGWANI KUHARAKISHA MAENDELEO YA KIUCHUMI NA KIJAMII DAR ES SALAAM
DARAJA LA JANGWANI KUHARAKISHA MAENDELEO YA KIUCHUMI NA KIJAMII DAR ES SALAAM
-
MKATABA WA UJENZI WA DARAJA LA JANGWANI WASAINIWA, BILIONI 97.1 KUONDOA KERO YA MAFURIKO NA MSONGAMANO DAR ES SALAAM
MKATABA WA UJENZI WA DARAJA LA JANGWANI WASAINIWA, BILIONI 97.1 KUONDOA KERO YA MAFURIKO NA MSONGAMANO DAR ES SALAAM
-
NAIBU SPIKA UJENZI WA DARAJA LA JANGWANI NI MATOKEO YA FALSAFA YA 4R YA RAIS SAMIA
NAIBU SPIKA UJENZI WA DARAJA LA JANGWANI NI MATOKEO YA FALSAFA YA 4R YA RAIS SAMIA
-
ASHUNGWA ATAKA WANANCHI WARUHUSIWE KUTUMIA BARABARA ZA BRT AMBAZO HAZINA MABASI
ASHUNGWA ATAKA WANANCHI WARUHUSIWE KUTUMIA BARABARA ZA BRT AMBAZO HAZINA MABASI
-
USHIRIKIANO WA TANZANIA NA JAPANI KUWEZESHA UJENZI WA FLYOVER MOROCCO – DAR
USHIRIKIANO WA TANZANIA NA JAPANI KUWEZESHA UJENZI WA FLYOVER MOROCCO – DAR
-
TANROADS YASAINI MIKATABA NA WASHAURI ELEKEZI WA MIRADI YA TanTip
TANROADS YASAINI MIKATABA NA WASHAURI ELEKEZI WA MIRADI YA TanTip
-
TANROADS YAWEKA TAA ZA BARABARANI KWENYE VITUO VYA MWENDOKASI KWA AJILI YA USALAMA WA WATEMBEA KWA MIGUU
TANROADS YAWEKA TAA ZA BARABARANI KWENYE VITUO VYA MWENDOKASI KWA AJILI YA USALAMA WA WATEMBEA KWA MIGUU
-
UKARABATI WA MADARAJA NA MAKALVATI YALIYOHARIBIWA NA EL-NINO WATENGEWA BIL. 840
UKARABATI WA MADARAJA NA MAKALVATI YALIYOHARIBIWA NA EL-NINO WATENGEWA BIL. 840
-
DARAJA LA JP MAGUFULI LINALOJENGWA NA TANROADS KURAHISISHA SAFARI MWANZA
DARAJA LA JP MAGUFULI LINALOJENGWA NA TANROADS KURAHISISHA SAFARI MWANZA
-
TANROADS YASHIRIKI KIKAMILIFU CRDB MARATHON 2024
TANROADS YASHIRIKI KIKAMILIFU CRDB MARATHON 2024
-
TANROADS WAANZA MAZOEZI YAKUJIANDAA NA MICHUANO NCHINI
TANROADS WAANZA MAZOEZI YAKUJIANDAA NA MICHUANO NCHINI
-
MTI WA MBUYU KATIKA KITUO CHA MBUYUNI HAUTAATHIRIWA NA UJENZI WA MABASI YAENDAYO HARAKA (BRT 4), JIJINI DAR ES SALAAM
MTI WA MBUYU KATIKA KITUO CHA MBUYUNI HAUTAATHIRIWA NA UJENZI WA MABASI YAENDAYO HARAKA (BRT 4), JIJINI DAR ES SALAAM
-
UJENZI WA MIUNDOMBINU YA MABASI YA MWENDOKASI AWAMU YA NNE - DAR UNAENDELEA
UJENZI WA MIUNDOMBINU YA MABASI YA MWENDOKASI AWAMU YA NNE - DAR UNAENDELEA.
-
TANROADS DAR ES SALAAM YATOA MSAADA WA MAHITAJI MUHIMU YENYE THAMANI YA MILIONI 2 KWA KITUO CHA MAMA THERESA, MBURAHATI
TANROADS DAR ES SALAAM YATOA MSAADA WA MAHITAJI MUHIMU YENYE THAMANI YA MILIONI 2 KWA KITUO CHA MAMA THERESA, MBURAHATI
-
TANROADS YAPOKEA TUZO MAALUM KWENYE MAONESHO YA SABASABA
TANROADS YAPOKEA TUZO MAALUM KWENYE MAONESHO YA SABASABA 2024
-
KAZI ZA UJENZI ZIFANYIKE KWA UBORA NA UZALENDO - DKT. BITEKO
KAZI ZA UJENZI ZIFANYIKE KWA UBORA NA UZALENDO - DKT. BITEKO
-
BASHUNGWA AFIKISHA MKAKATI WA KUINUA MAKANDARASI WAZAWA KWA WABIA WA MAENDELEO
BASHUNGWA AFIKISHA MKAKATI WA KUINUA MAKANDARASI WAZAWA KWA WABIA WA MAENDELEO
-
BASHUNGWA AAGIZA KUKAMATWA KWA MKANDARASI ANAYEJENGA DARAJA LA MPIJI CHINI - DAR
BASHUNGWA AAGIZA KUKAMATWA KWA MKANDARASI ANAYEJENGA DARAJA LA MPIJI CHINI - DAR
-
BASHUNGWA AZITAKA TANROADS NA TARURA KUSHIRIKIANA KUFANYA TATHIMINI YA MIUNDOMBINU ILIYOATHIRIWA NA MVUA
BASHUNGWA AZITAKA TANROADS NA TARURA KUSHIRIKIANA KUFANYA TATHIMINI YA MIUNDOMBINU ILIYOATHIRIWA NA MVUA
-
BASHUNGWA AKAGUA ATHARI ZA MVUA DAR ES SALAAM AAHIDI BARABARA YA KIBADA - MWASONGA KUJENGWA KWA LAMI
BASHUNGWA AKAGUA ATHARI ZA MVUA DAR ES SALAAM AAHIDI BARABARA YA KIBADA - MWASONGA KUJENGWA KWA LAMI
-
BARABARA ZOTE ZINAZOSIMAMIWA NA TANROADS ZILIZOATHIRIWA NA MVUA ZA EL-NINO ZINAFUNGULIWA KWA WAKATI
BARABARA ZOTE ZINAZOSIMAMIWA NA TANROADS ZILIZOATHIRIWA NA MVUA ZA EL-NINO ZINAFUNGULIWA KWA WAKATI
-
Miradi mitano kati ya 11 ya miundombinu ya barabara yakamilika Dar es Salaam
Miradi mitano kati ya 11 ya miundombinu ya barabara yakamilika Dar es Salaam
-
Barabara ya Kimara-Bonyokwa - Kinyerezi kujengwa kwa kiwango cha lami ndani ya miezi 16
Barabara ya Kimara - Bonyokwa - Kinyerezi kujengwa kwa kiwango cha lami ndani ya miezi 16
-
TANROADS YAPONGEZWA NA MHE. KASSIM MAJALIWA KWA MCHANGO WAKE KATIKA KURUDISHA KWA JAMII
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameipongeza Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi kupitia TANROADS kwa kufanya kazi kubwa ya kufanikisha maonesho ya Sabasaba Mwaka 2023 kwa kujenga barabara nzuri za kiwango cha lami ndani vya Viwanja vya Sabasaba Jijini Dar es Salaam na kuongeza hadhi na muonekano mzuri wa viwanja hivyo.
-
NAIBU WAZIRI ENG. KASEKENYA ARIDHISHWA NA MAANDALIZI UJENZI WA BRT III
NAIBU Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Eng. Godfrey Kasekenya ametembelea Ujenzi wa Mradi wa Mabasi yaendayo Haraka BRT na kueleza kuridhishwa kwake na maandalizi ya kuanza kwa ujenzi wa awamu ya tatu ya mradi huo kutokea Katikati ya Jiji la Dar es Salaam kwenda Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Nyerere hadi Gongolamboto KM 24.3.
-
PROF. MBARAWA ARIDHISHWA UJENZI BARABARA DAR ES SALAAM
PROF. MBARAWA ARIDHISHWA UJENZI BARABARA DSM WAZIRI wa Ujenzi na Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa ameelezea kuridhishwa kwake na Ujenzi wa Barabara ya Mabasi yaendayo haraka – (BRT) sehemu ya Katikati ya Jiji kwenda Mbagala na kumtaka mkandarasi anaejenga Barabara hiyo kuhakikisha inakamilika kama ilivyo pangwa. Akizungumza jijini Dar es Salaam leo, Prof. Mbarawa amesema katika kipindi cha miezi mitatu kutoka sasa anatarajia barabara hiyo yenye urefu wa kilometa 20.3 itakuwa imefunguliwa yote kwa matumizi. “Nia ya Serikali ni kupunguza msongamano Dar es Salaam hivyo nakuagiza TANROADS na Mkandarasi kuhakikisha sehemu inayokamilika magari yaruhusiwe kuitumia wakati ujenzi unaendelea ili kupunguza msongamano na kuleta ufanisi katika huduma za usafiri na uchukuzi katikati ya jiji la Dar es Salaam,” amesisitiza Prof. Mbarawa. Aidha amewataka madereva wa magari katika barabara ambazo ujenzi wake bado unaendelea kutoa ushirikiano wa kutosha kwa wakandarasi ili kulinda usalama wa abiria, wajenzi na magari kwa ujumla. “…Hatuitaji ajali zitokee hivyo tutii maelekezo ya wataalam wetu yenye nia ya kupunguza msongamano na kulinda usalama wa watu na magari,” amesema Prof. Mbarawa. Prof. Mbarawa amesema ujenzi wa Barabara na Magaraja jijini Dar es Salaam unafanywa kwa awamu hivyo wananchi waendelee kuiunga mkono Serikali ili kufikia malengo tarajiwa yaliokusudiwa. Kwa upande wake, Meneja Mradi wa BRT, Eng. Barakaeli Mmari amesema ujenzi wa Daraja la Juu sehemu ya Chang’ombe makutano ya barabara za Nyerere na Kawawa uko sahihi kulingana na usanifu wake, lengo ni kutoa nafasi katikati kwa magari yaendayo haraka. Amezungumzia umuhimu wa raia wema kupata taarifa sahihi kwa TANROADS pale wanapoona katika miradi hiyo kuna jambo linaloitaji ufafanuzi. Naye Mbunge wa Temeke, Mhe. Doroth Kilave ameishukuru Serikali na kuipongeza Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi kutokana na kasi ya ujenzi wa miadi hiyo katika jimbo lake. Takribani Shilingi Bilioni 262 zinatarajiwa kutumika katika ujenzi wa Barabara ya kupunguza msongamano ya Kilwa na Daraji la Chang’ombe katika makutano ya Barabara za Nyerere na Kawawa jijini Dar es Salaam.
-
Ujenzi wa Interchange kwenye makutano ya Ubungo
Wakala wa Barabara nchini (TANROADS), leo umetiliana saini na kampuni ya M/S China Civil Engeneering Construction Cooperation kutoka China (CCECC) mkataba wa ujenzi wa barabara za Juu ‘Interchange’ katika makutano ya barabara ya Sam Najoma na Mandela Ubungo jijini Dar es salaam.