• Welcome

  • UKARABATI UWANJA WA NDEGE KIA KUKAMILIKA DESEMBA.

    Serikali imesema ukarabati wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA),   unatarajiwa kukamilika mwezi Desemba mwaka huu ambapo kwa sasa umefika zaidi ya asilimia Tisini.

  • SAMIA: MADEREVA WA BODABODA ACHENI HARAKA.

    Madereva wa Pikipiki (bodaboda) nchini wametakiwa kutii sheria za Usalama Barabarani bila shuruti kwani ajali nyingi zinazotokea barabarani zimekuwa zikisababishwa na uzembe unaofanywa na madereva hao.