-
Welcome
-
BASHUNGWA AIAGIZA TANROADS KUFUNGA MIZANI MITATU YA KUPIMA UZITO WA MAGARI TUNDUMA
BASHUNGWA AIAGIZA TANROADS KUFUNGA MIZANI MITATU YA KUPIMA UZITO WA MAGARI TUNDUMA
-
KASEKENYA ATOA MIEZI MIWILI UJENZI OSBP KASUMULU UKAMILIKE
KASEKENYA ATOA MIEZI MIWILI UJENZI OSBP KASUMULU UKAMILIKE
-
Makamu wa Rais akagua barabara mchepuko ya Inyala
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Isdor Mpango amekagua barabara ya mchepuo wa Inyala yenye kilometa 2.8 na Upanuzi wa Barabara ya TANZAM sehemu ya Inyala - Shamwengo yenye kilometa 3 jijini Mbeya.
-
UJENZI WA BARABARA YA NJIA NNE MBEYA WAANZA
Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Profesa Makame Mbarawa ametaka usimamizi madhubuti wa Ujenzi wa Barabara ya Igawa - Songwe – Tunduma, Sehemu ya
3, Ujenzi wa Njia Nne kutoka Nsalaga (Uyole) mpaka Ifisi (Kiwanja cha Ndege cha Songwe) yenye urefu wa kilometa 29. -
KM 32 WILAYANI KYELA KUJENGWA KWA LAMI
Serikali imesema itaendelea kutekeleza Sera yake ya kuunganisha mkoa kwa mkoa na wilaya kwa wilaya kwa barabara za lami ili kurahisisha usafiri na usafirishaji wa abiria, mazao na malighafi mbalimbali ili kukuza uchumi kwa haraka.