• Welcome

  • TANROADS WAAGIZWA KULETA MZANI MAKAMBAKO

    Naibu Waziri wa Ujenzi, Elias Kwandikwa, ameuagiza uongozi  Wakala wa Barabara (TANROADS), Makao makuu kuhakikisha ndani ya mwezi mmoja  wanaweka mzani mwingine wa kuhamishika katika eneo la mzani wa Makambako ili kuweza kutatua  changamoto ya msongamano wa magari katika eneo hilo.