• Welcome

  • PROF. MBARAWA AWAONYA TBA.

    Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Prof. Makame Mbarawa, ameuagiza Wakala wa Majengo (TBA), kuhakikisha wanakamilisha ujenzi wa miradi yote waliyopewa na Serikali kwa wakati.