-
Welcome
-
BARABARA YA TANGA – PANGANI - SAADANI – BAGAMOYO HADI DAR ES SALAAM KUFUNGUA UCHUMI – MHA. KASEKENYA

TAKRIBANI BILIONI 300 ZIMETENGWA KWA AJILI YA UJENZI WA MIUNDOMBINU YA BARABARA NA MADARAJA KATIKA MKOA WA TANGA

UJENZI WA BARABARA YA AFRIKA MASHARIKI KUTOKA LUNGALUNGA (KENYA) HADI MAKURUNGE – BAGAMOYO KUFUNGUA FURSA ZA KIUCHUMI

TANROADS TANGA YAFANYA KAZI YA KUZIBA MASHIMO BARABARANI YALIYOSABABISHWA NA MVUA

MAWASILIANO YA BARABARA YA HANDENI-KIBERASHI ENEO LA MABALANGA YAJEREA

Utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa Barabara ya lami Tanga hadi Pangani wafikia asilimia 74

Barabara za mkoa wa Tanga kuunganisha nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki

UTEKELEZAJI WA AWALI WA UJENZI WA BARABARA KUPITIA UTARATIBU WA EPC+ FINANCING MKOANI TANGA
Ujenzi wa mradi wa barabara ya Handeni - Kiberashi - Kijingu - Kibaya - Njoro - Olboroti - Mrijo Chini - Dalai - Bicha - Chambolo - Chemba - Kwa Mtoro - Singida yenye urefu wa Kilometa 389 unaotarajiwa kuanza hivi karibuni kwa kiwango cha lami umetajwa kuwa na manufaa makubwa kwa wakazi wa mkoa wa Tanga, Manyara, Dodoma, Singida na maeneo ya Jirani ikiwemo kutoa ajira zaidi ya 1000 kwa wazawa, kuondoa adha ya usafiri na usafirishaji na hivyo kuchochea shughuli kiuchumi na maendeleo.
-
UJENZI WA BARABARA MUHIMU AFRIKA MASHARIKI KUANZA
UJENZI wa awamu ya tatu ya kipande cha barabara kuunganisha nchi ya Tanzania na Kenya umezinduliwa.